WhatsApp Kuacha Kufanya Kazi Kwenye Simu Hizi (2023)
Kama unatumia moja ya simu hizi basi ni vyema kubadilisha simu mapema
Kila Mwaka WhatsApp hutoa list ya simu za zamani ambazo hazitoweza kufanya kazi sambamba na programu ya WhatsApp. Kwa mwaka huu nimekueleta LIST HAPA, ya simu za iPhone, Samsung, Huawei, LG na nyingine ambazo WhatsApp haitofanya kazi.
Hakikisha una angalia kama simu yako ni moja ya simu kwenye list hii, pia WhatsApp imetangaza kuwa imeanza kutuma ujumbe kwa watumiaji wa simu hizo kuwapa taadhari kuwa programu hiyo haito endelea kufanya kazi kwenye simu husika.
Asante TZ Tech. Tunahitaji habari zs teknolojia katika Kiswahili. Tafadhali endelea! Kwa heshima, Mmerikani. https://open.substack.com/pub/mmerikani?utm_source=share&utm_medium=android