Tuma Mafile Kwa Haraka Bila Kutumia Waya, Bluetooth au Internet
Njia hii itakusaidia sana kutuma mafile kwenda au kutoka kwenye kifaa chochote iwe Kompyuta, Simu za Android, iPhone, Tablet, iPads na hata Smart TVs
Kama umekuwa ni mtu wa kuhamisha data kutoka simu moja kwenda nyingine au kutoka kompyuta moja kwenda nyingine au kutoka kifaa kimoja kwenda kingine njia hii itakufaa sana.
Kupitia hapa utaweza kujua njia bora sana ambayo utaweza kutoka File lenye takribani hadi GB 5 kwa sekunde 10 bila kutumia Internet, Bluetooth wala bila kutumia waya. Unaweza KUSOMA HAPA hatua kwa hatua jinsi ya kuwezesha njia hii kwenye simu yako au hata kwenye kompyuta.
Natumaini njia hii itaweza kukusaidia sana kurahisisha utumaji wa data kutoka kifaa kimoja kwenda kingine kwa urahisi na haraka.
Asante Tanzania Tech kwa maarifa haya juu ya teknologia. Napenda sana kuona teknolojia ya habari kupitia Kiswahili. Tafadhali endelee!