Kabla ya kuangalia Video hii ningependa kutoa angalizo kuwa njia hii ni kwa ajili ya kujifunza na imelenga kusaidia kujua mbinu anazo weza kutumia mtu yoyote kusoma meseji au SMS zako bila wewe kujua. Pia kumbuka kuwa njia hizi ni sio udukuaji bali hizi ni huduma ambazo zina tolewa na tovuti na kampuni mbalimbali ambazo zinapatikana mtandaoni.
Kumbuka ni kinyume na sheria za nchi kuweka programu yoyote kwenye simu ambayo hauna mamlaka nayo kutumia kwa asilimia 100. Kwa kusema hayo inakupasa kuhakikisha hautumi vibaya kwa namna yoyote makala hii au makala nyingine zozote zilizopo kwenye tovuti hii.
LINK MUHIMU
0. Soma hapa kujua jinsi ya kujilinda ili mtu asiweze kusoma SMS zako bila wewe kujua.
