Pakua Video Kutoka Mitandao Yote (100%)
Kama unataka kupakua video yoyote kutoka mtandao wowote hii ndio njia ya kutumia
Najua wewe ni mmoja wa watu wanaopenda kuangalia video kutoka mitandao mbalimbali lakini linapokuja swala la kupakua video hiyo ni wazi kuwa ni lazima kupakua apps nyingi kwenye simu yako.
Lakini Kupitia njia ambayo nimekuandali HAPA, Utaweza kupakua video kutoka kwenye mitandao yote unayo ifahamu wewe. Kuanzia Tiktok, YouTube, Snapchat, Likee, Facebook, Instagram na mitandao mengine mingi.