Njia Mpya ya Kutengeneza Pesa Mtandaoni kwa Kuangalia Video Fupi za Kuchekesha

App hii inapatikana kwa watumiaji wa Android kwa sasa

Cheka Point ni App ya kitanzania ambayo inakupa uwezo wa kutengeneza pesa mtandaoni kwa urahisi bila kutumia muda mwingi, app hii ambayo ni mtandao wa kijamii inakupa uwezo wa kupata point kadhaa kwenye kila video ambayo unaweza kuangalia, mbali na kuangalia pia unaweza kupata point kwa kushare video zilizopo ndani ya app hiyo.

Unaweza kubadilisha point hizo kuwa pesa na kuomba kutoa point hizo moja kwa moja kupitia app hiyo. Kitu cha muhimu ni kutengeneza akaunti na moja kwa moja utakuwa uko tayari kuanza kutengeneza pesa.

Mbali na hayo app hii pia inakuja na video, picha, pamoja na vichekesho vya aina mbalimbali, kitu kizuri kwenye app hii ni kuwa unaweza kudownload app hii na kuendelea kutumia kama kawaida na utalipata point pale unapo fikisha kiwango cha kutoa point hizo. Unaweza kudownload app hii kupitia link hapo chini.

Download App ya Cheka Point Hapa