Kama umekuwa ukisumbuliwa na kichwa au macho kuuma baada ya kutumia kompyuta, Laptop au PC basi pengine njia hii inaweza kusaidia. Unaweza KUSOMA HAPA kujua jinsi ya kupunguza mwanga kwenye kompyuta yako kwa kiwango kikubwa sana.
Njia hii imenisaidia binafsi sana na nilikua navaa miwani muda wote napo tumia kompyuta lakini kwa sasa sivai miwani mara nyingi kama ilivyokuwa awali.