Jumia Tanzania Yasitisha Rasmi Huduma Zake kwa Tanzania

Kampuni maarufu ya biashara ya kuuza bidhaa mtandaoni kwa barani Afrika Jumia, hivi karibuni imetangaza kusitisha huduma zake kwa hapa Tanzania. Kwa mujibu wa tovuti ya Techweez, Jumia Tanzania imetengaza kusitisha huduma zake rasmi kuanzia siku ya Jana tarehe 27 mwezi wa 11 mwaka huu 2019.
Soma Zaidi Hapa: Jumia Tanzania Yasitisha Rasmi Huduma Zake kwa Tanzania
