Jinsi ya kuwezesha (PIP) Picture in Picture Mode Kwenye Browser Chrome
Utaweza kuangalia video huku uhiwa unafanya kazi kwenye kompyuta
Kama wewe ni mmoja wa watu ambao wanapenda kufanya kazi kwenye kompyuta yako huku unaangalia video basi makala hii ni kwaajili yako. Kupitia njia hii nitakuonyesha jinsi ya kuwezesha PIP au Picture in Picture Mode kwenye video yoyote kupitia Chrome.
Njia hii ni rahisi sana na unaweza kuwezesha kwa kufuata hatua kupitia kwenye MAKALA HAPA. Kama kwa namna yoyote utakwama unaweza kuwasiliana nasi tutakupa msaada wa moja kwa moja.