Jinsi ya Kuweka Password Kwenye App Yoyote Kwenye Simu ya Android
Kama unataka kuweka password sehemu yoyote ya simu yako basi hii ni yako
Kama wewe ni mmoja wa watu ambao wanataka kuweka password kwenye sehemu yoyote kwenye simu yako ya Android basi video hii itakusaidia sana.
LINK MAALUM
1. Pakua app ya Message Locker (App Hii si Kama Nyingine) Download App hii Hapa - https://url.tanzaniatech.one/oPp
