Jinsi ya Kutumia Smartphone Yako Kama Microphone
Hauna microphone..? usijali tumia smartphone yako kama mic
Kupia maujanja siku ya leo nitaenda kushare na wewe njia rahisi ambayo unaweza kubadilisha smartphone yako ili uweze kutumia kama Microphone kwenye Kipaza sauti. Njia hii ni nzuri sana na ni rahisi sana na itakusaidia sana kama wewe ni mmoja wa watu ambao wanataka kupaza sauti kwa namna moja ama nyingine na huna uwezo wa kupata Microphone kwa namna moja ama nyingine.
Njia hii pia inaweza kusaidia hata wewe YouTuber ambaye bado huna vifaa vya kurekodia na unapenda kurekodi sauti bora kwenye video zako kwa kutumia smartphone yako kama microphone.
LINK MUHUMU
1. Download App ya WO Mic Hapa
2. Download Mfumo wa WO Mic kwa Kompyuta Hapa
