Jinsi ya Kutengeneza Pesa Mtandaoni kwa Kutumia WhatsApp
Utaweza kutengeneza pesa kwa urahisi, lakini unahitaji bidii
Jifunze hapa Njia Rahisi ya kuweza kutengeneza pesa mtandaoni kwa asilimia 100, njia hii inaweza kusaidia kutengeneza pesa ambazo zinaweza kusaidia kwenye mambo madogo madogo, unaweza kupata pesa zaidi kwa kufanya hatua hizi zaidi.
UPDATE
KAMA UNATUMIA NJIA HII KUANZIA MAY 10 SASA TUMIA DIRECT LINK NA SIO SMART LINK KWANI SMART LINK ZIMEONDOLEWA NA PROPELLER ADS.
LINK MAALUM
1. Bofya hapa kutengeneza Akaunti ili kupata pesa - https://bit.ly/2DRkg3f
2. Bofya hapa kusoma maelezo hatua kwa hatua - https://bit.ly/2Qa8PFx
Njia ya Pili ya Kutengeneza Pesa Mtandaoni Kwa Kutumia WhatsApp
Kama utakuwa umeangalia hatua zote hapo juu, basi nakushauri kuangalia video ya pili hapa chini maana hii ndio inaonyesha njia rahisi zaidi ambayo inaweza kukusaidia kupata pesa kwa kutumia WhatsApp na mitandao mingine ya kijamii. Kumbuka ni muhimu kuangalia video ya kwanza hapo juu kwani njia hizi zote mbili zinategemeana.
Kwa Maujanja zaidi kama haya unaweza kuungana nasi kwenye Channel Yetu Hapa, hakika nakuahidi hutoweza kujutia…. Subscribe sasa.