Jinsi ya Kutengeneza Pesa Mtandao Kupitia Adsense kwenye blog ya Kiswahili
Kupitia njia hii utaweza kuweka matangazo kwenye blog yoyote ya kiswahili
Kama wewe ni mmoja ya watu ambao wanataka kuongeza kipato chako kupitia blog yako ya Kiswahili kupitia mtandao wa Adsense basi huu ndio wakati wako wote tunajua kuwa Adsense haikubali content za kiswahili lakini njia hii itakusaidia wezesha kupata pesa kupitia content zako za kiswahili bure kabisa.
HATUMA MUHIMU
Hatua hizi ni muhimu sana ndio ambazo zinaweza kukusaidia kufikia hatua hizi za kutengeneza pesa kupitia blog yako ya Kiswahili.
1. Tengeneza Tovuti yako ya Blogger Bure - https://url.tanzaniatech.one/YrS
2. Tengeneza Tovuti ya Link Bure - https://url.tanzaniatech.one/syH
3. Weka Custom Domain ( Sio Lazima ) - https://url.tanzaniatech.one/YKt
4. Kupata Tovuti ya Link Hakikisha una Download Hapa - https://url.tanzaniatech.one/1F6
5. Maelezo yote kwa ujumla Yanapatikana Hapa - https://url.tanzaniatech.one/uhU
Kama kuna mahali umekwama unaweza kuuliza kupitia sehemu ya maoni hapo chini au unaweza kuwasiliana nasi moja kwa moja.
Test