Jinsi ya Kupunguza Matumizi ya Bando Unapo Angalia Video YouTube
Utaweza kupunguza matumizi ya Bando hadi Asilimia 50% unapo angalia video
Kutokana na kupanda kwa gharama za Internet ni wazi kuwa kila mtu anahitaji kupunguza matumizi ya bando. Kuliona hili nimekuandalia njia HAPA ambayo na uhakika itakusaidia kuweza kupunguza matumizi ya Internet hasa unapo angalia video kupitia mtandao wa YouTube.
Njia hii ni rahisi sana na haitaji kupakua app yoyote, na pia utaweza kufanya njia hii kupitia simu yoyote ya Android au iOS.