Jinsi ya Kujua Mtu Aliyeshika Simu Yako Bila Wewe Kujua (Njia Bora)
Kama kuna mtu amekuwa akishika simu yako bila wewe kujua basi mfahamu kwa kutumia njia hii.
Kama umekuwa ukihisi kuwa kuna mtu anashika simu yako bila wewe kujua basi njia hii mpya itakusaidia sana. Kupitia #Maujanja siku ya leo nimekuandalia njia hii ambayo inaweza kukusaidia sana kutambua mwizi au mtu yoyote ambaye ameshika simu yako bila wewe kujua. Kitu cha muhimu fuatisha maelezo hapo juu kwenye video pia unaweza kupakua app zote zilizotajwa kwa kuangalia link hapo chini.
LINK MAALUM
1. Download App ya WTMP Hapa - https://url.tanzaniatech.one/r4Y
