Jinsi ya Kuficha SMS na Call logs za Mtu Maalum
Kama unataka kuficha Call Log na Baadhi ya SMS kwenye simu yako njia hii ni bora
Kuna wakati unataka kuficha SMS na Call Logs za mtu fulani kwenye simu yako ya Android, Hii inatokana na sababu mbalimbali hivyo basi ili kuweza kufanya hivyo fuata hatua hizo hapo juu.
Note : App iliyotajwa hapo juu kwa sasa haipo tena Play Store ila unaweza kudownload apk file kupitia link hapa - https://url.tanzaniatech.one/Kzy