Jinsi ya Kudownload video na Audio kutoka kwenye mitandao yote ya kijamii
Utaweza kupakua app moja ambayo itaweza kusaidia kupakua video na audio kutoka mitandao yote ya kijamii
Ni wazi kuwa tumesha ongelea mara nyingi sana jinsi ya kudownload video, mp3 au picha kutoka mitandao mbalimbali ya kama Instagram, Facebook na YouTube.
Lakini kupitia makala hii nitakuonyesha njia rahisi ya kudownload video, picha na mp3 kutoka mitandao yote ya kijamii kwa urahisi kwa wakati mmoja. Huna haja ya kuwa na apps nyingi kwenye simu yako kwaajili ya kudownload video, picha au mp3.