Jinsi ya kudivert SMS Kutoka Simu Moja Kwenda Nyingine (Android)
Utaweza kupata SMS kutoka simu moja kwenda simu nyingine kwa urahisi
Ni wazi kuwa SMS bado zinayo nafasi kubwa sana, hasa uki zingatia ni ngumu kutumia baadhi ya huduma mbalimbali za kifedha kwenye simu yako bila kutumia SMS, ndio maana leo nimekuletea njia mpya na rahisi ya ku-forward SMS kutoka simu moja kwenda nyingine bila kushika simu husika kila mara.
LINK MAALUM
1. Download Message Forwarder - https://url.tanzaniatech.one/IrP
