Jinsi ya Kubadilisha Muonekano wa Simu Yoyote ya Android kuwa Kama iPhone
Utaweza kupata muonekano unao fanana kabisa na muonekano wa iPhone
Leo kwenye Maujanja Tunajifunza njia rahisi ambayo inaweza kukusaidia kubadilisha muonekano wa simu yako ya Android kuwa kama iPhone, njia hii ni rahisi sana na una hitaji apps kadhaa ili kuweza kupata muonekano huu.
LINK MAALUM
1. Download iOS Launcher iOS 13 Hapa - http://bit.ly/2L13TDR
2. Download Assistive Touch Hapa - http://bit.ly/2XV6piI
3. Download App ya Lock Screen & Notifications iOS 13 Hapa - http://bit.ly/2MTftU9
4. Download App ya Control Center iOS 13 - http://bit.ly/2KXRHnv