Jibu Meseji za WhatsApp Bila Kushika Simu
Utaweza kujibu meseji zako za WhatsApp bila kushika simu kila saa
Ni wazi kuwa unatumia WhatsApp, inawezekana unatumia kibiashara au kwa mambo yako binafsi. Lakini ukweli ni kuwa kuna wakati unatamani kujibu meseji lakini huwezi kushika simu yako kila mara.
Sasa kuliona hili nimekuletea njia HAPA ambayo itakusaidia kuweza kujibu meseji za WhatsApp bila kushika simu yako kila saa.
Natumaini njia hii itaweza kusaidia kujibu meseji zako za WhatsApp kwa haraka na kufanya ufanikiwe zaidi kibiashara au kuwasiliana na ndugu na jamaa kwa urahisi na haraka.