Gusa Sehemu ya Kamera Kwenye Simu Yako Kufanya Haya
Utaweza kuwasha tochi, Kufungua App uzipendazo na Mengine Mengi
Kama wewe ni mmoja wa watumiaji wa simu ya Android basi napenda ufahamu maujanja haya rahisi ambao sasa unaweza kutumia sehemu ya kamera kwenye simu yako kufanya mambo mbalimbali.
Sehemu ninayo zungumzia hapa ni kama hiyo kwenye picha hapo chini. Kama simu yako inayo kamera ya hivyo basi unaweza kutumia sehemu hii kufanya mambo mbali.
Unaweza kutumia sehemu hii kuwasha tochi kwa kugusa hapo, pia unaweza kutumia sehemu hii kufungua kamera na pia hata kuongeza mwanga kwenye simu kulock simuna menginge mengi. Unaweza kuona hatua zote KUPITIA HAPA.