Futa Mafaili Yanayojaza Nafasi Kwenye PC Bila Programu
Utaweza kuongeza Storage na Speed kwenye kompyuta yako ya Windows
Kama wewe ni mmoja wa watu ambao umekuwa ukiona kompyuta yako inajaa haraka bila sababu ya msingi basi ni wazi kuwa kuna mafaili ambayo yana chukua nafasi hiyo bila wewe kujua.
Kupitia Hapa tumekuandalia njia bora za kugundua na kufuta mafaili yasiyo tumika yanayo chukua nafasi kubwa kwenye kompyuta yako, Zifuatazo ni njia hizo.
Kwa Kutumia Storage Sense
Kama ulikuwa hujui, mfumo wa Windows 10 pamoja na Windows 11 inakuja na sehemu ya Storage Sense. Sehemu hii ni maalum kwa kufuta mafaili ambayo hayatumiki na hivyo kusaidia kuongeza nafasi kwenye kompyuta yako. Fahamu jinsi ya kutumia na kuwasha sehemu hiyo hapa.
Njia hizi zote ni rahisi na zinaweza kusaidia kwa kiasi kikubwa kufuta mafile kwenye kompyuta yako ambayo hayana kazi na hivyo kuongeza nafasi kwenye kompyuta yako.
How