Fahamu Haya Kabla ya Kununua Laptop Yoyote ya MacBook
Kama unataka kununua laptop ya MacBook ni vyema kufahamu haya kwanza kabla ya kununua.
Kama umekuwa ukiona matangazo pamoja na kuongezeka kwa wauzaji wa laptop za MacBook tena kwa bei rahisi basi hauko pekee yako.
Kupitia makala hii nimekuandalia mambo ya muhimu Sana kujua kabla ya kununua MacBook hasa hizi MacBook za zamani. Mambo hayo ni muhimu sana hasa kama unataka kununua Laptop kwa ajili ya kazi mbalimbali kama vile kazi za ofisi, graphics design, Video Editing na hata wewe ambae unataka laptop hii kwa ajili ya kazi zako za ofisini au shuleni.
Unaweza kusoma mambo yote 6 HAPA, Bila kusahau point za muhimu kama jinsi ya kuangalia Battery kama ni nzima na kama keyboard ya laptop unayo taka kununua ina dalili za kuharibika.
Asante Tanzania Tech.