Chat Bila Kutumia Bando au Salio
Chati kwa urahisi bila kutumia Bando au Salio kwa Kutumia simu yako ya Android
Kama wewe ni mtumiaji wa simu ya Android na umekuwa ukitaka kuchat kwa urahisi bila kutumia bando au salio basi unaweza kusoma HAPA kujua hatua kwa hatua jinsi ya kuchati bila kutumia Bando.
Unaweza Kupakua App ya Tanzania Tech Hapa Ili Kupata Maujanja Kwa Urahisi