Apps za Kufuatilia Kombe la Dunia (Kwenye Simu)
App hizi zitakusaidia kujua mechi, kupata matokeo pamoja na matukio muhimu
Michezo muhimu ya Kombe la Dunia (World Cup) inategemea kuanza rasmi tarehe 20 mwezi November (2022). Najua kuwa huwezi kufuatilia michezo yote kupitia TV yako.
Kuliona hilo nimekuletea List ya Apps Hizi HAPA ambazo na uhakika zitakusaidia Sana kufuatilia michuano ya Kombe la dunia kwa urahisi na haraka kupitia simu yako ya mkononi.
Haijalishi unatumia Android au iOS apps hizi ni nzuri sana kwako wewe mpenzi wa Mpira wa miguu.