Apps Nzuri za Android Kwaajili ya Kuongeza Ulinzi
Apps hizi zitakusaidia kulinda simu yako kwa namna ya kipekee kabisa
Kupitia Apps Nzuri leo tutaenda kuangalia apps nzuri ambazo unaweza kutumia kwenye simu yako ya Android, apps hizi zitaongeza ulinzi kwenye simu yako kwa namna ya kipekee na kufanya simu yako kuwa salama kabisa kulingana na eneo ulilopo.
LINK MAALUM
1. Download App ya Max App Locker Hapa - http://bit.ly/2JzN5nT
2. Download App ya Double Tap Hapa - http://bit.ly/2JC6rZj
3. Download App ya Dont Touch My Phone Hapa - http://bit.ly/2QnbPjs
4. Download App ya Calculator Vault Hapa - http://bit.ly/30GqCux
5. Download App ya Find Device Hapa - http://bit.ly/2HUcvch
6. Download App ya Selfie Intruder Hapa - http://bit.ly/30GtQhs
7. Download App ya Shake to Unlock Hapa - http://bit.ly/2Qmm4ov
8. Download App ya Third Eye Hapa - http://bit.ly/2K0GG4f
9. Download App ya Nyubeat Hapa - http://bit.ly/2H0fe4I
Kujua Apps Nyingine Nzuri Hakikisha Una Subscribe kwenye Channel Yetu Hapa.